This page provides information news and reports for Kenya
LHM Kenya is registered in Kenya.
Our main contact is Bishop Stephen Kiguru.
We hold seminars several parts of Nairobi, Kisumu, Mombassa and a new work is starting in Baringa. |
|
|
 |
|
|
|
Written by Richard Brunton
|
|
Wednesday, 29 May 2013 19:19 |
Mathayo anatupea utangulizi kuhusu majaribu ya Yesu,mwanzo wa huduma ya Yesu ya kuhubiri na kuitwa kwa wanafunzi wake wa kwanza.Tunaona tena Mathayo akituelezea mwanzo wa huduma ya uponyaji wa Yesu.
|
|
Read more...
|
|
Written by Richard Brunton
|
|
Friday, 29 March 2013 08:29 |
|
Sio jambo kushangaza kwamba Matayo anarekoti kutembelewa kwa mtoto Yesu kule Bethelehemu na Mamajusi.Huenda Mamajusi walikuwa wafalme na ishara ya nyota ni ya muhimu sana kwao.Tamaa yao ya kuabudu na tamaa ya Herodi ya kuangamiza ni tofauti kubwa.Yesu ni mfalme wafalme na Mathayo anachukua kila nafasi kuelezea hiyo na kunena juu ya Yesu kuwa analeta Ufalme wa Mungu na kuajilia Ufalme wa mbiguni duniani.Kuna sehemu tatu kuu zinazoelezewa katika huu mlango,Bethelehemu,mahali pa kuzaliwa,Misri,mahali pa maficho na Nazarethi,mahali pa maandalizi.
|
|
Read more...
|
|
Mafunzo ya biblia-Februari 2013.MATAYO |
|
|
|
|
Written by Richard Brunton
|
|
Tuesday, 26 February 2013 19:49 |
MATAYO 1 Kwa mafunzo yetu ya mwezi ,tutakuwa tunaangalia kitabu cha Injili cha Matayo.Matayo alikuwa mtoza ushuru aliyempata Masiya wake ndani ya Bwana Yesu.Masiya inamaanisha Mfalme na Matayo anaelezea madhumunihaya mara nyingi katika Injili yake.Pia anapenda kuonyesha vile Yesu anavyotimiza unabii wa agano la kale na ara kwa mara huitangaza anavyolinganisha tukio kuu katika maandishi yake.
|
|
Read more...
|
|
Nairobi and Mombassa report |
|
|
|
|
Written by Dave Weaver
|
|
Thursday, 04 March 2010 00:00 |
|

It has been said that if you always aim low, succeeding in tasks you know you can achieve you will probably grow very little in your walk with God. But to achieve success in a task you know is beyond your current experience, outside of your ‘comfort zone’ is the place of real challenge and growth. The Africa trip with Living Hope Ministries this early spring was such a time for me.
|
|
Read more...
|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 Next > End >>
|
|
Page 1 of 2 |